Home » Mlango Wa Tatu by Michele Sudler
Mlango Wa Tatu Michele Sudler

Mlango Wa Tatu

Michele Sudler

Published January 1st 2012
ISBN : 9781306653541
ebook
Enter the sum

 About the Book 

Kayla, mama mwenye uzoefu wa mapenzi yasiyodumu, ameapa kutokuwa na mwanaume milele, kama anavyodai. Hayo yalitokea kabla hajakutana na mwanaume aliyekuwa jirani mlango wa tatu kutoka kwake. Sasa hawazi kingine ila mpenzi wake Marley Jarnette.MoreKayla, mama mwenye uzoefu wa mapenzi yasiyodumu, ameapa kutokuwa na mwanaume milele, kama anavyodai. Hayo yalitokea kabla hajakutana na mwanaume aliyekuwa jirani mlango wa tatu kutoka kwake. Sasa hawazi kingine ila mpenzi wake Marley Jarnette. Mwenyewe Marley anaelewa kuwa ana safari ndefu kumpata Kayla kimapenzi, baadaye anagundua kuwa ana washirika wengi wa kumsaidia katika safari hiyo ndefu: Kayla ana binti zake watatu, ambao wamechoshwa na maisha wanayoishi hasa kwa ahadi laghai za mama yao. Je! Msaada wao kwa Kayla utamuwezesha agundue kuwa anamuhitaji Marley kufanikisha maisha yake?